Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Cheza mchezo wa mezani, sawa na pool table ukishandana na mwenzao au mshindani wako akiwa mchezaji wa mfumo wa kompyuta
Mchezo wa mashindano wenye machaguzi ya pikipiki nne na mizunguko mitatu wenye uhitaji mdogo wa uwezo wa kompyuta
Mchezo wa mbio za magari unaohusisha picha kadhaa za kuvutia na kumpa mchezo fursa ya kuchagua magari ya muundo mbalimbali na kuyajaribu tayari kwa mashindano
Ni programu inayokuwezesha kuondoa hitilafu yoyote kwenye mchezo wako wa video na hivyo kuboresha muonekano wake
Mchezo wa video unaochezwa kwa kompyuta za Windows ambao humwezesha mchezaji kupitia hatua mbalimbali ambazo ugumu huongezeka kutoka hatua moja hadi nyingine
Mchezo wa video unaokuwezesha kuchagua kuchagua mpinzani wako kutoka miongoni mwa washindani wengine 24 wenye malengo tofauti
Kompyuta inadili na kadi katika toleo la hili la kidigitali la mchezo huu maarufu wa kadi za solo
Mchezo wa kufurahisha na wa bure unayomtazama mchezaji akikimbiza gari kwenye njia ya ajabu
Mchezo wa video ambao unakimbiza baisikeli za kustaajabisha
Mchezo wa bure wa kuendesha magari unaopatikana kwenye Windows
Wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaojiunganisha na kutafuta wapinzani
Xpadder ni mfumo unaokuwezesha kubadilisha vitufe kwenye kichezesha michezo chochote na kuongeza utangamano
Michezo inayopakulika inayokuruhusu kushiriki katika mechi kama bingwa unayempenda katika Window 10
Mchezo wa timu unaojikita katika mbinu za kibaharia ukiwa na mbinu na mitindo yenye uhalisia
Programu inayokuwezesha kuchati, kupiga simu au kuwasiliana kwa video ambayo ilianza kutumika kwenye simu na sasa inapatumika hadi kwenye kompyuta
Badilisha video zilozochukuliwa kwa sim kwenda kwenye mfumo utakaoweza kutumika kwenye kompyuta
Programu inayorudisha mazungumzo yako ya zamani kutoka WhatsApp,ikijumuisha picha,video na sauti
Hapa mtumiaji anaweza kutengeneza muziki unaokidhi mahitaji yake kwa kutumia deki mbili za programu hii ya DJ ambayo ni rahisi kuitumia
Changanya miziki ya aina mbalimbali kwa urahisi kabisa kwa kutumia kompyuta yako na kuwaburudisha watu wote
Programu inayokuwezesha kujitengenezea miito ya simu na kushea kwa wengine
Programu ya bure inayokuwezesha kubadili kwa kasi video kwenda kwenye muundo wa SWF na mafaili ya SWF kuyageuza kuwa video
Programu rahisi kutumia ukiwa kama na Mchezeshaji Muziki, yaani DJ pamoja na kutengeneza muziki wa karaoke
Programu ya kuhariri picha na ambayo ni ya bure inayokuwezesha kufanya uhariri wa aina mbalimbali ili kuifanya picha yako kuwa bora
Mchezo wa mashindano wa kasi na kusisimua unaokupa magari mbalimbali na masaa ya burudani
Programu ya kuchanganya sauti na video kwa maonyesho mubashara ya DJ
Hii programu inakuruhusu kuunganisha sauti na video,kutengeneza filamu za nyumbani kwa urahisi
Program nyepesi ya kupiga kinanda cha mtandaoni vilevile inawezesha kutengeneza na kupiga ala za matukio
Programu inayomwezesha mtumiaji kutuma ujumbe kwenye simu ambayo imesikimika programu husika
Tumia programu hii kuhakikisha muunganiko wa Wi-Fi ni salama bila hatari na unatumika kwa uwiano mzuri
Hii programu ndogo inayokuwezesha kurudisha nywila yako ya Wi-fi haraka na kwa urahisi
Mchezo wa tatu ni mtamu,njia ya kuburudisha kupata michezo ya casino kwenye kifaa chako
Nyenzo inayowezesha kupangilia muda katika uzimaji wa kompyuta na kukupatia mipangilio ya muda tofauti tofauti ya kukidhi mahitaji yako
Kibodi ya kuandikia lugha ya Bangla katika vifaa vya Window,Linux na Ubuntu
customise desktop na picha 27 za magari ya kisasa,sauti za injini na picha za lamborghini