Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Picha ya skrini
Vishale na Fonti
Mandhari
Mandhari ya Skrini
Leseni ya programu: Bila malipo
Kwa kutumia kompyuta yako, unaweza kutengeneza, kuhariri na kuunda filamu uzipendazo kwa kutumia vipande vidogo vidogo vya video na picha
Tengeneza mwonekano wa Windows 8 katika kompyuta inayitumia mfumo endeshi wa Windows 7
Programu ya mfumo endeshi wa kompyuta iliyofanyiwa marekebisho makubwa na hatimae kuwa na muonekano bora na wa tachi
Mkusanyiko wa picha zenye ubora kwa ajili ya Window 7
Programu inayomruhusu mtumiaji kubadili nywila zao za kuingilia kwenye vifaa vya Window
Programu ya bure inayomruhusu mtumiaji kugeuza deskitopu zao kwa kutumia video binafsi
Programu nyepesi inayokuruhusu kuamilisha Dreamscene katika kompyuta yako ya Window
Mfumo wa udhibiti wa sauti unaofanya kazi katika mfumo wa Windows Vista
Programu ya kawaida inayoondoa nyimbo za sauti katika faili nyingi za redio
Avengers windo ya 7 yenye muonekano mzuri itaipa windo 7 ya kompyuta yako muonekano wa kipekee na machaguo tofauitofauti
Valisha Windows 7 yako kwa muonekano huu maalum unaotokana na mandhari ya filamu ya Andrew Garfield Spidey
Mchezo wa video za kimapigano unauzungumzia simulizi za Kigiriki
Ina muonekano mzuri na ni rahisi sana katika ufungaji (installation)
Programu inayomwezesha mtumiaji wa kompyuta zenye Windows 7 kuboresha muonekano wa nyuma, yaani background ya kioo cha kompyuta yake
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Boresha kitunza kioo chako kwa kuweka aina mbalimbali za samaki
Programu ambayo inatengeneza ala za muziki kutoka kwenye sauti au nyimbo zilizorekodiwa
Inakusaidia kuangalia tarakilishi yako inavyofanya kazi katika mifumo na viwango mbalimbali
Ni programu ya kipekee inayokuwezesha kubadilisha rangi ya icon yoyote inayowakilisha folda yoyote
Boresha taskbar yako kwa mfumo huu unaowawezesha watumiaji kuongeza picha, alama na kuogeza ufanisi
Mfumo wa bure wa uketishaji wenye chaguzi mbalimbali za kuboresha kulikana na pendezo lako
1