Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Vijalizi na Zana
Vivinjari vya wavuti
Leseni ya programu: Bila malipo
Ni kivinjari chenye msingi wa chrome ambacho kinakufanya utumie kwa urahis huku kikikupa uzoefu kamilifu
Kivinjari cha wavuti kinachotumika kwenye kompyuta au simu na kuwezesha kutuma data kwa mtumiajia kwa haraka zaidi
Unaweza kuboresha au kubadilisha kivinjari cha sasa cha intaneti na kutumia toleo lake jipya ambalo ni bora na mashuhuri zaidi
Programu inayokuwezesha kucheza taarifa wakati ukivinjari mtandao
Ni nyenzo inayokuwezesha kupata ladha ya maudhui mbalimbali yaliyo kwenye mfumo wa 3D
Programu ya kufuatilia tweet, inayofuatilia yanayoendelea kwenye ukurasa wako wa Twitter bila kufungua tovuti
Kifaa cha chrome kinachokuruhusu kuacha kuwafuata marafiki,kufuta maoni na kukataa maombi ya urafiki kwa pamoja
Kivinjari cha mtandao chenye kasi ya juu na usalama katika kutoa taarifa
kwa kutumia msingi uleule kama mozilla firefox,programu hii inakupa emails bora ,mazungumzo ya IRC na mengineyo
Kivinjari rahisi kukitumia kinachomwezesha mtumiaji kutafuta taarifa mtandaoni na kuvinjari mtandaoni kwa urahisi
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Programu inayokuwezesha kutunza nywila, au maneno yako yote ya siri kwa usalama
Peruzi saiti za torrent zilizofungwa kwa kutumia kivinjari hiki
Leseni ya programu: Bila malipo (GPL)
Kivinjari kilichoboreshwa kwa utendaji wa kasi katika kompyuta
Kivinjari cha wavuti kinachomwezesha mtumiaji kuvinjari mtandaoni kwa urahisi zaidi huku akijihakikishia usalama na faragha yake mtandaoni kwa taarifa anazoperuzi
Kivinjari cha wavuti na kazi nyingi za kichupo, zana zilizounganishwa na kutambua spyware na malware
Kwa kutumia kompyuta yako sambaza mtandao usiotumia waya, yaani wireless na mtu yeyote umtakaye
Pata toleo hili la kivinjari maarufu duniani ambalo halijakamilika na unaweza kutumia kwenye kompyuta yako binafsi
Ni kivinjari cha Intanet kutoka chanzo cha wazi ambacho hutumika kwenye mifumo mingi ya uendeshaji kompyuta
Kivinjari wavuti chepesi chenye njia ya kusomea na uwezo wa kuangalia PDF
Programu ya kuvinjari inayoruhusu kuvinjari mtandaoni,kazi za mtandaoni na usimamizi wa barua pepe
1